Meneja uwanja wa Nane nane uliopo Mkoa wa Mbeya Bwana Kasilati akitoa maelezo mafupi pamoja na kusoma Ratiba nzima ya Kuzunguka katika Mabanda ya Nane nane kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma .
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akiuliza Jambo katika banda la Kilimo
Mmoja wa wataalam wa Kilimo akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akiendelea kupata maelezo katika mabanda
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akipokea zawadi katika Banda la wajasiliamali wanaotengeneza Bidhaa Mbalimbali
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akipata maelezo yakina katika moja ya mabanda ya kilimo katika eneo la Ufugaji
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akiongea katika Idara ya Maji hapa alikiwa anaeleza juu ya mita mbalimbali zamaji zikiwemo Mbovu, ambazo watu wanaiba maji na ambazo ni Mita Bora
Mmoja wa Watumishi wa idara ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma ambaye hayupo pichani Jinsi wanavyo Sambaza Maji kwa wananchi Mbeya.
Haya ni Mazao yanayozalishwa na wakulima waliofundishwa kilimo Bora na TAHA- Tanzania Horticultural Association
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akipata maelezo ya kina kutoka kwa afisa Masoko na Taarifa kutoka TAHA Bi. Cyrila Mlay
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akiwa anaonja tikiti maji katika Banda la TAHA
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akipata maelezo kutoka kwa Mkufunzi wa Chuokikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akipata maelezo kutoka kwa Dr. Ben Kibese Meneeja wa Kitengo cha Uchumi Benki Kuu Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akipata maelekezo kutoka kwa Asajile Mwakisisile Mhandisi kutoka TCRA.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akiwa katika Banda la Ize Money na Sweet Fm
Picha zote na Mbeya yetu blog
0 comments:
Post a Comment