October 05, 2014

  • MKUTANO WA WAHITIMU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) WANAOISHI NYANDA ZA JUU KUSINI WALIO SOMA CBE KUANZIA MWAKA 1965-214 IKIWA NI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA CHUO JIJINI MBEYA .


    Moja ya mabango Likionesha juu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)
    Bango kubwa la mualiko 
     Mbeya Hotel ambapo ndipo mkutano huo unafanyika 
     
    Eneo ambapo Mkutano huo unakwenda kufanyika leo ndani ya Mbeya Hotel.


    Ikiwa imeanza Safari ya kuelekea  katika Sherehe ya Kuhitimisha Miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Bishara (CBE) , Katika Kampasi ya Mbeya leo kumeandaliwa Mkutano maalum wa wahitimu wa Chuo hiki cha CBE walio wahi kusoma kuanzia mwaka 1965-2014 ikiwa ni sehemu ya Maadhimisgho ya Siku hii muhimu. Wahitimu hawa ni kutoka Nyanda za Juu kusini. 

    Katika Sherehe hii muhimu kwa Chuo cha CBE mgeni Rasmi atakuwa ni Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mkoa wa Mbeya Mh. John Mwakipesile, Pia Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Profesa Emmanuel Mjema atakuwepo pamoja na wadau wengine mbalimbali.

    Kuwa nasi hapa moja kwa moja kufuatilia Tukio hili lote moja kwa moja hapa hapa.

    Picha na Mbeya yetu 
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.