Bondia Khalid Chokoraa akipiga begi wakati wa maandalizi ya kujiandaa na mchezo wake
Bondia Khalid Chokoraa kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga 'upper-cut' na Ramadhani Jifasto wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi yake iliyoko mwananyamala jijini Dar es salaam
Bondia Khalid Chokoraa. Picha zote na Super D
0 comments:
Post a Comment