August 06, 2014

  • WAZIRI MUHONGO atembelea makao makuu ya kampuni ya General Electric ya Marekani




    WAZIRI MUHONGO atembelea makao makuu ya kampuni ya General Electric ya Marekani
    Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akipokea maelezo ya kitaalam alipotembelea Makao Makuu ya Kampuni ya General Electric (GE)  ya nchini Marekani  inayojishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa vifaa vya kufua umeme. Moja ya bidhaa zao ni mitambo ya kufua umeme itakayotumika katika mradi wa  kufua umeme wa Kinyerezi  I wa kiasi cha megawati 150.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.