August 04, 2014

  • VODACOM YASABABISHA VILIVYO ROBO FAINALI YA DANCE 100 CHANG'OMBE



    VODACOM YASABABISHA VILIVYO ROBO FAINALI YA DANCE 100 CHANG'OMBE
    Kikundi cha Street Dance cha Mbagara jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
    Wachezaji wa kundi la Manuary kutoka Majohe Pugu jijini Dar es salaam, wakicheza wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
    Vijana wanaounda Kikundi cha G.O.P cha Keko jijini Dar es salaam, wakitoa burudani kali wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.