August 08, 2014

  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA WAPATA MUITIKIO MKUBWA KUTOKA KWA WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUJIONEA MENGI NDANI YA NANE NANE MBEYA



    HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA WAPATA MUITIKIO MKUBWA KUTOKA KWA WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUJIONEA MENGI NDANI YA NANE NANE MBEYA

    Kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Mh. Mussa Zungiza akiongea jambo na  Bi. Katitwa ambaye ni mtaalam wa Kilimo katika Banda lao la Jiji
    Baadhi ya Watu wakipata mafunzo mbalimbali katika Banda la Jiji
    Elimu Bure ya Kilimo Bora ikiendelea kutolewa
    Muonekano wa Banda la Jiji kwa ndani
    Wananchi mbalimbali wakiendelea kupata elimu mbalimbali katika Banda la Jiji.
    Baadhi ya  vitu ambavyo vinauzwa ndani ya Banda Jiji Mbeya
    Wataalam wa Ardhi na Mipango miji wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaopenda kujua juu ya mipango miji na Umiliki wa Ardhi
    Wa kwanza kulia ni Justina Mwaisango ambaye alikuwa anatoa elimu Bora ya ardhi kwa moja ya watu waliofika kutembelea Banda la Jiji Mbeya 
    Wa kwanza Kulia ni Javes Lyowa mtaalam wa maliasili akitoa maelezo ya kina Juu ya ujenzi bora na kutoa baadhi ya taratibu za ujenzi bila kuharibu maliasili.

    Na Mbeya yetu



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.