Banda la Mbeya Yetu ambao wanakuletea Tukio zima moja kwa moja kupitia hapa hapa.
Kutoka Kulia ni Mtangazaji wa TBC 1 Hosea Cheyo akiwa anajiandaa na kuweka mambo sawa tayari kwa kuanza kazi kushoto ni Fredy Anthony akiwa anaendelea kuweka utaratibu sawa wa kwenda hewani moja kwa moja Watu mbalimbali wakiwa wanaanza kuingia hapa wa pili kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Clouds TV na Radio Mpanji akiwa tayari kwa kazi
Mbunge Mstaafu wa Rukwa Dr. Christian Mzindakaya akiwa anahojiwa na kutoa mtazamo wake wa maonesho ya nane nane
Kushoto ni Joseph Mwaisango wakiendelea na kazi ....Mambo yanaendelea
Wanafunzi Mbalimbali wakiwa wanajiandaa kuingia katika maonesho ya Nane nane
Watu wakianza kumiminika katika Banda la nane naneWanafunzi nao wameanza miminika
Picha na Mbeya yetu
0 comments:
Post a Comment