July 05, 2014

  • Siku ya PSPF yafana


    Siku ya PSPF yafana
     Mke wa rais Mama Salma Kikwete, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfukonwa Pensheni wa PSPF, Adfam Mayinghu, (Kulia), kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam
    Mke wa rais Mama Salma Kikwete, akipena mkikono na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu JK Nyerere
     Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Wanne kulia) na maafisa wengine wa Mfuko huo, wakipiga makofi kuashiria kushangilia jambo, wakati wa sherehe za siku ya PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam

     Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin, (Kushoto), akitoa maelezo ya utambulisho kwenye sherehe ya siku ya PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimun JK Nyerere jijini Dar es Salaam
     Afisa wa Mfuko wa PSPF, (Kushoto), akiwahudumia wananchi waliohudhuria siku ya PSPF kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam
     Msanii Banana Zorro (Katikati) na wasanii wa kundi la Mjomba Band, wakitumbuiza wanachi waliofika kusherehekea siku ya PSPF, kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya 38 kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam
     Mkurugenzi Mkuu was Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Wapili kulia), akimhudumia mstaafu, Jackson F. Salewa, (Kulia), aliyetembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa, kwen ye viwanja vya JK Nyerere jijini Dar es Salaam
    Msanii Mrisho Mpoto, wa kundi la Mjomba Band, na mwenzake, Banana Zoro, wakitumbuiza kwenye sherehe ya siku ya PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini 


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.