| Maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe yakifanyika. |
| Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe akiwakaribisha wananchi katika futari aliyoandaa kwa ajili yao katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga. |
| Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe akizungumza na wageni wake alipowaalika kwa ajili ya Futari aliyoandaa kwa ajili yao eneo la Ikulu wilayani Mwanga. |
| Mke wa Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe ,Kudra Maghembe akiwakaribisha wananchi katika futari iliyoandaliwa kwa ajili yao. |
| Waumini wa dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Magharibi katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga kabla ya Futuru iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe. |
| Wananchi wakipata Futari. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya
Jamii Kanda ya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment