July 30, 2014

  • ANGALIA PICHA AJALI MBAYA YA NOAH HUKO MJINI MOROGORO




    ANGALIA PICHA AJALI MBAYA YA NOAH HUKO MJINI MOROGORO
    Hili ni gari la Noah lililopata ajali jana usiku wa saa 8 huko Morogoro Mtaa wa Mazimbu reli ya pili likiwa na vijana wanne ambapo mmoja wao kaaga dunia.
    Hii ni nguzo iliyogongwa na gari hilo mara baada ya kuhama njia.Sehemu ya ubavu wa kulia wa gari hilo ukiwa umeharibika vibaya.Upande wa kushoto wa gari hilo.Raia waliokuwa eneo la tukio wakishuhudia ajali iliyotokea.

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.