July 05, 2014

  • Mama Salma Kikwete atembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam



    Mama Salma Kikwete atembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam leo
     Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akitembelea leo  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia  ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke,  Sophia Mjema.
     Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akipata  maelezo  leo   kuhusu bidhaa  mbalimbali  kutoka kwa Bi mkubwa  Juma kwenye banda la Zanzibar  katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kushoto  ni  Mkuu wa Wilaya ya Temeke,  Sophia Mjema.
     Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge) akipokelewa  na Mke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapa  wakati alipotembelea leo  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia  ni  Mkuu wa Wilaya ya Temeke,  Sophia Mjema.
     Mama  Salma Kikwete  akisaini kitabu cha wageni  wakati alipotembelea leo  banda la  Mke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapa  kwenye  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.
     Mama  Salma Kikwete  akiakiangalia aina za ungo   wakati alipotembelea leo  banda la  Mke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapa  kwenye  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia  ni  Mkuu wa Wilaya ya Temeke,  Sophia Mjema.
     Mama  Salma Kikwete  akipata maelezo kuhusu vitabu vya mchakato wa Rasimu ya  Katiba mpya  na vya sheria kutoka kwa Theresia  Kinabo ,ambaye ni Afisa Tawala wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) (aliyenyoosha mkono)   na pembeni yake ni Benadeta Thomas  amabye ni Afisa  Sheria  wakati alipotembelea leo  banda la  Mke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapa kwenye  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.
     
     Mama  Salma Kikwete  akiakiangalia aina ya simu Nokia 105 katika  banda la Vodacom   wakati alipotembelea leo kwenye  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.
     Mama  Salma Kikwete  akiandika namba atakayohitaji kutumia  baada ya kuchagua simu aina ya Nokia 105 katika banda la Vodacom   wakati alipotembelea leo kwenye  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.
     Mama  Salma Kikwete  akipata maelezo ya simu na bidhaa nyingine  katika  banda la Vodacom  kutoka kwa Afisa Mauzo  wa banda hilo , Blanca Mashoko wakati alipotembelea leo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.
     Mama  Salma Kikwete  akisaliamiana  na Balozi wa Italia  nchini, Luigi Scotto kwenye banda la  Tanzania  wakati alipotembelea leo kwenye  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.
    Mama  Salma Kikwete  akipata maelezo ya  kikapu kidogo cha shanga  cha kutunzia vifaa vya urembo  kutoka kwa Cristina Kivuyo,  kwenye banda la Pride mshiki kutoka  Arusha   wakati alipotembelea leo kwenye  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.
    Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.