July 25, 2014

  • VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA JIJINI MBEYA



    VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA JIJINI MBEYA
    Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini Mbeya wakiwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini humo kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
    SHEIKH wa Wilaya ya Mbeya, Sheikh Bakari Mketo (Kulia) akimkabidhi zawadi ya katoni ya sukari mmoja wa wanafunzi wa Madrasa za jijini Mbeya (katikati) wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini humo kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
    SHEIKH wa Wilaya ya Mbeya, Sheikh Bakari Mketo (Kulia) akimkabidhi zawadi wa katoni ya sukari mmoja wa wanafunzi wa Madrasa za jijini Mbeya (katikati) wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini humo kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramdhani.
    KATIBU wa Jumuiya ya Maimamu mkoani Mbeya, Sheikh Abdalla Yondo (Kushoto) akipata huduma ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini Mbeya kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
    SHEIKH wa Wilaya ya Mbeya, Sheikh Bakari Mketo (Kushoto) akipata huduma ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini Mbeya kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
    BAADHI ya Wanafunzi wa Madrasa mbalimbali za jijini Mbeya waliohudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini wakifuturu kwenye hafla hiyo iliyokuwa na lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.