July 05, 2014

  • TANZANIA YASHIRIKI VYEMA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA NA VIWANDA NDOLA ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 JULY HADI 8 JULY 2014




    TANZANIA YASHIRIKI VYEMA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA NA VIWANDA NDOLA ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 JULY HADI 8 JULY 2014
    Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mh. Grace Mujuma akipatiwa maelezo na mmoja wa wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania ambao wanashiriki kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara na Viwanda yanayofanyika Mjini Ndola,Zambia. 
    Sehemu ya wafanyabiashara wajasiliamali kutoka nchini Tanzania wakionyesha bidhaa zao kwenye Maonyesho hayo ya Kimataifa.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.