July 18, 2014

  • Picha:Mkutano wa Siku 3 wa Majadiliano ya Masuala ya Kodi Afrika Wafanyika Jijini Arusha



    Picha:Mkutano wa Siku 3 wa Majadiliano ya Masuala ya Kodi Afrika Wafanyika Jijini Arusha
    mkurugenzi mkuu wa TRA Rished Bade akizungumza wakati wa ufunguzi wa  mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana
     Waziri wa fedha Saada mkuya akijadiliana jambo na rais wa kituo cha kimataifa cha ukusanyaji kodi na uwekezaji Daniel Witt wakati wa mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana katika hotel ya naura spring.
    Waziri Saada Mkuya akihojiwa na wanahabari

    waziri wa fedha Saada Mkuya katikati  akiwa na mkurugenzi mkuu wa TRA kulia Rished Bade na kushoto dr.Jeffrey Owens mtaalam msahuri wa kodi na mhadhiri chuo kikuu cha uchumi na biashara Viena mara baada ya waziri kufungua mkutano wa majadiliano ya masuala ya kodi unaofanyika jijini Arusha

    Picha ya pamoja



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.