July 18, 2014

  • Picha:Rais Jakaya Kikwete Azindua Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu Mkuzo,Songea


    Picha:Rais Jakaya Kikwete Azindua Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu Mkuzo,Songea
     Rais Jakaya Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mh. Saidi Mwambungu kulia , Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. Profesa Anna Tibaijuka (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa shirika la Nyumba NHC Bw. David Shambwe wakikata utepe kwa pamoja kama ishara ya uzinduzi wa mradi huo.
      Rais Dr. Jakaya Kikwete akipata taarifa ya mradi huo wa nyumba za gharama nafuu kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa shirika la Nyumba NHC Bw  David Shambwe
     Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. Profesa Anna Tibaijuka akizungumza katika hafla hiyo mchana huu
     Rais Dr. Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo
      Rais jakaya Kikwete akipata maelezo ya kuhusu Mashine za kufyatulia matofali  ambazo zimegawiwa kwa kila wilaya za mkoa wa  Ruvuma
     Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili  katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba  (NHC) na kupokelewa na Ndg. David Shambwe Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wakati alipokagua mradi huo uliopo katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma  akiwa katika ziara yake ya kikazi Jana, Rais Dr. Jakaya Kikwete anaendelea na ziara mkoani  humo Jana

     Akiwasalimia wananchi waliofika kushuhudia
    Vikundi vya nguma na burudani ikiburudisha katika tukio hilo mchana wa leo.(PICHA ZOTE KWA HISANI YA KITENGO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA JAMII CHA NHC)



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.