December 11, 2015

  • MWANARIADHA WA KIKE CASTER SEMENYA AFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWENZAKE


    MWANARIADHA WA KIKE CASTER SEMENYA AFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWENZAKE
    semenya
    Mwanariadha wa kike nchini Afrika Kusini aliyeshinda mbio za mita 800 kwenye mashindano ya Olimpiki, Caster Semenya amefunga ndoa na mwanamke mwenzake.
    Semenya amemuoa mwanamke aitwaye Violet Raseboya ambaye alikuwa ni mpenzi wake wa siku nyingi kwenye harusi ya kitamaduni iliyofanyika wikiendi iliyopita.


    semenya 2
    Congratulations to Caster Semenya on getting married this past weekend


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.