December 01, 2015

  • BREAKING NEWS : SAKATA LA UFISADI LILILOIBULIWA NA UINGEREZA STANBINK BENKI TANZANIA YATAKIWA KUILIPA SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 13 KWA KUFANYA UDANGANYIFU


    BREAKING NEWS : SAKATA LA UFISADI LILILOIBULIWA NA UINGEREZA STANBINK BENKI TANZANIA YATAKIWA KUILIPA SERIKALI ZAIDI YA BILIONI 13 KWA KUFANYA UDANGANYIFU

    Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue akiongea na Waandishi wa Habari leo 01 Disemba, 2015 katika Ofisi ya Mawasiliano Ikulu kuhusu Tanzania kurejeshewa dola za Marekani milioni 7 katika kesi iliyofunguliwa katika Mahakama Jijini Uingereza dhidi ya Benki ya Stanbink Tanzania

    Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue (kushoto) akiongea na Waandishi wa Habari leo 01 Disemba, 2015 katika Ofisi ya Mawasiliano Ikulu kuhusu Tanzania kurejeshewa dola za Marekani milioni 7 katika kesi iliyofunguliwa katika Mahakama Jijini Uingereza dhidi ya Benki ya Stanbink Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bwana Assah Mwambene.

    Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa toka kwa Katibu Mkuu Kiongozi kuhusu Tanzania kurejeshewa dola za Marekani milioni 7 katika kesi iliyofunguliwa katika Mahakama Jijini Uingereza dhidi ya Benki ya Stanbink Tanzania.
    (Picha zote na Benedict Liwenga)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.