December 22, 2015

  • Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akutana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo



    Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akutana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo
    Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo aliyemtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
    Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Mhe Mhe. Prefere Ndayishimiye aliyesimama katikati ni Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo.
    Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akimsikiliza kwa umakini Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo alipofanya mazungumzo naye ofisi kwake jijini Dar es Salaam.
    Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson (aliyeko katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Prefere Ndayishimiye (kulia), Rais wa na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo (kushoto).


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.