December 25, 2015

  • Fuso laua zaidi ya watu 10 baada ya kupinduka kwenye milima ya Usambara



    Fuso laua zaidi ya watu 10 baada ya kupinduka kwenye milima ya Usambara
     
    Ajali mbaya imetokea Soni Lushoto Tanga na watu wapatao kumi wameripotiwa kufariki baada ya fuso iliotokea kwenye maulidi katika Kijiji cha Mgombezi kuanguka nakubiringika bondeni.
      



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.