Mona Lisa (pia huitwa La Giocconda ambayo kwa Kitaliano ina maana ya furaha au mwanamke mwenye furaha tele) ni mchoro wa mwanzoni mwa karne ya kumi na sita uliochorwa na mchoraji mashuhuri duniaLeonardo da Vinci. Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri duniani. Mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesha (makumbusho) la mjini Paris maarufu kama Louvre. Nat King Cole aliutungia wimbo mchoro huu ambao sifa zake si za kawaida
0 comments:
Post a Comment