August 09, 2014

  • MAJAMBAZI YAMPIGA MTU RISASI DAR




    BREAKING NEWS: MAJAMBAZI YAMPIGA MTU RISASI DAR
    Ilikuwa ni katika jaribio la wizi ambapo majambazi hao walimpiga risasi ya kifua mtu mmoja kabla ya kumpora katika  maeneo ya kiwanda cha Serengeti kilichopo Temeke jijini Dar es Salaam.Kabla ya kufanikiwa tukio hilo, majambazi hao walikurupushwa na Polisi na kukamatwa wakiwa na Bastola pamoja na risasi nne.

    Baada ya kukamatwa majambazi hao wamepelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kilichopo temeke.
    Chanzo: SHUHUDA .....Kwa taarifa kamili kutoka jeshi la Polisi itawajia hivi punde.:


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.