Mbunge                  wa  viti maalum  Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabu                  Matitu  Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa  Wilaya                   ya  Kisarawe mkoani Pwani,Dk Happiness                  Ndossi baada ya kukabidhi >                  mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka,  pamoja                  na mipira ya Baiskeli  kwa                  ajili ya Hospitali hiyo  vyote vikiwa                  na gharama ya Shilingi Milioni Sita na laki  tano
                 Wilaya                  ya Kisarawe,Dk. Happiness Ndossi  akionyesha                  moja ya shuka zilizotolewa na Mbunge wa Viti  maalum                  Mkoa wa Pwani, Mhe Zainabui Matiti Vullu                  kwa ajili ya  Hospitali ya Kisarawe                  pamoja na mashine mpya ya kufulia nguo  za                  wagonjwa na mipira ya Baiskeli kwa ajili                  ya kubebea  wagonjwa
                  Mashine                  iliyokabidhiwa kwa Hospitali ya Kisarawe                  mkoani  Pwania na Mbunge wa viti                  maalum, Mhe Zainabu Mattiti Vullu
                 Mbunge                  wa Viti maalu mkoani wa Pwani  Mhe                  Zainab Matitu Vullu  akizungumza                  wakati wa kukabidhi mashine ya kufulia nguo                  za wagonjwa, mashuka na mipira ya Baiskeli  kwa                  hospitali hiyo
                Mhe.                  Zainab Matitu Vullu  akizungumza                  wakati wa kukabidhi mashine ya kufulia nguo                  za wagonjwa, mashuka na mipira ya Baiskeli  kwa                  hospitali hiyo
        




 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment