| Rais wa Jamhuri                        ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho                        Kikwete akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa                        Mhe. Richard Stuart Mann, Balozi wa New Zealand                        hapa nchini mwenye makazi yake Afrika Kusini.                        Hafla hiyo fupi ilifanyika Ikulu Jijini Dar es                        Salaam tarehe 15 Julai, 2014. | 
| Balozi Mann                        akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na                        Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe                        (Mb.) mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Hati                        zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais Kikwete,                        wakwanza kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,                        Kazi maalum Mhe. Prof. Mark J. Mwandosya (Mb.) | 
| Rais wa Jamhuri                        ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho                        Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mhe. Richard                        Stuart Mann | 
| Balozi Richard                        Stuart Mann akisaini                        Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu. Balozi                          Mann akisikiliza Wimbo wa Taifa lake ukipigwa                          kwa heshima yake mara baada ya kuwasili Ikulu.                          Kulia ni Mkurugenzi na Mkuu wa Itifaki, Balozi                          Mohammed Juma Maharage na wakwanza kushoto ni                          Mnikulu, Bw. Shaaban Gurumo.Picha                          na Reginald Philip. | 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment