July 07, 2014

  • RIDHIWANI AKABIDHI VITANDA 267 SHULE JIMBONI KWAKE"Chalinze (50), Mandera (25), Talawanda (24), Kiwangawa (50), Lugoba (38) , Moreto (50), na Kikaro (30)''



    RIDHIWANI AKABIDHI VITANDA 267 SHULE JIMBONI KWAKE"Chalinze (50), Mandera (25), Talawanda (24), Kiwangawa (50), Lugoba (38) , Moreto (50), na Kikaro (30)''

     Ridhiwani akimkabidhi vitanda  50 Mwalimu Emmanuel Kahabi kwa ajili ya shule ya Chalinze. Kushono ni Abubakari Mlawa wa Kampuni ya MM Steel iliyotoa vitanda hivyo


     Mbunge wa Chalinze, mkoa wa Pwani, Mtoto wa Rais, Ridhiwani Kikwete, akijaribu kimoja kati ya vitanda 267, kabla ya kuvigawa kwa shule saba za jimboni Chalinze, katika hafla iliyofanyika jana, kwenye shule ya Sekondari Lugoba jimboni humo. 

    Shule zilizopewa vitanda hivyo vikiwa na magodoro yake, idadi ya vitanda ilivyopata ikiwa kwenye mabano ni; Chalinze (50), Moreto (50), Mandera (25), Talawanda (24), Kiwangawa (50), Lugoba (38) na Kikaro (30). 

    Kwa mujibu wa Ridhiwani mgawo huo ni wa awamu ya kwanza.


     Abdalla Sakasa wa Lugoba- akikabidhiwa vitanda vitanda 38



     Charles Mussa wa Talawanda- vitanda  24





     Justin Nguma wa Moreto  vitanda 50


     Omari Msami wa Kikaro-vitanda 30 



     Rose Umila wa  Mandera Girls vitanda 25



     Saidi Ally wa Kiwangwa akipongezwa na wadau baada ya kupata vitanda 50. 



     Ridhiwani akifurahi na wanafunzi wa shule ya Talawanda baada ya kukabidhi vitanda kwa mwalimu wa shyle hiyo (kulia)



     Mgawo awamu ya kwanza



     Ridhiwani akizungumza na wadau kueleza mikakati mbalimbali ya kukwamua maendeleo ya jimbo la Chalinze, ambapo alieleza kuwa miongoni mwa vipaumbele ni huduma za umeme ambapo italetwa Transfoma itakayowezesha jimbo hilo kupata umeme wa uhakika, afya na elimu



    Wadau wakimsikiliza Ridhiwani. 


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.