July 07, 2014

  • AJALI: GARI AINA YA NOAH LATUMBUKIA KWENYE DARAJA LA CHUMA LINALOUNGANISHA SITAKISHARI NA TABATA SEGEREA




    AJALI: GARI AINA YA NOAH LATUMBUKIA KWENYE DARAJA LA CHUMA LINALOUNGANISHA SITAKISHARI NA TABATA SEGEREA
     Gari aina ya Noah likiwa ndani ya mto baada ya kukosea njia na kutumbukia mtoni. Daraja hili liliharibiwa vibaya na Roli tarehe 19/06/2014.Daraja hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi
     Hii ndio hali halisi ya gari baada ya kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi uliopelekea kuama njia.



     Hii ndio speed inayoruhusiwa unapokaribia kwenye daraja hili
    Pia katika daraja hili liloharibika  kuna kibao kinachoonesha kuwa barabara  imefungwa na pia kuna kamba  za njano na nyekundu zikionesha kuwa hakuna njia lakini cha kushangaza gari hilo aina ya Noah liliweza kukata kamba hizo na kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.