July 18, 2014

  • PICHA:NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ANGELLA KAIRUKI AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU ZIARA YAKE YA SIKU TANO YA KUZITEMBELEA TAASISI ZINAZOTOA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA MKOANI DAR ES SALAAM



    PICHA:NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ANGELLA KAIRUKI AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU ZIARA YAKE YA SIKU TANO YA KUZITEMBELEA TAASISI ZINAZOTOA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA MKOANI DAR ES SALAAM
      Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kutoa maelezo ya majumisho ya ziara yake ya siku tano ya kuzitembelea Taasisi zinazotoa Huduma ya Msaada wa Kisheria Mkoani Dar es Salaam.
    Mkurugenzi mkuu wa kituo cha haki za binadamu  Hellen Kijo Bi. Simba(LHRC) (kulia) akimshukuru Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria baada ya kutembelea Taasisi zinazoshughulikia msaada wa kisheria jijini Dar es Salaam. Picha na Rose Masaka-MAELEZO.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.