July 18, 2014

  • MWANAMKE NA MWANAE ALIYEKUA ASAFIRI NA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOTUNGULIWA UKRAINE AONGEA


    MWANAMKE NA MWANAE ALIYEKUA ASAFIRI NA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOTUNGULIWA UKRAINE AONGEA

    Kwenye picha ni mwanamke wa Malaysia pamoja na mwanae aliyekua asafiri na ndege ya Malaysia iliyopata ajali akishindwa kujizuia kwa kutokwa na machozi baada ya kusikia ndege aliyokua asafiri nayo kudunguliwa na kombora kwenye mpaka wa Urusi na Ukraine. Sababu ya mwanamuke huyo kutokuwemo kwenye ndege hiyo ni kwa sababu ya kuchelewa na kukuta ndege ishaondoka na baadae alisema hii ni mwenyezi Mungu amenipa nafasi nyingine ya kuendelea kuishi


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.