Tunakujali, Tunakuthamini na Pia Tunakupenda!

December 31, 2015

  • TAARIFA YA UTAPELI

    TAARIFA YA UTAPELI ...
  • December 30, 2015

  • Spika wa Bunge, Job Ndugai Arejea Kutoka India

    Spika wa Bunge, Job Ndugai Arejea Kutoka India Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu....
  • WAZIRI WA FEDHA AFICHUA MAZITO JUU YA SAFARI ZA KWENDA KUOMBA MSAADA NCHI ZA NNJE

    WAZIRI WA FEDHA AFICHUA MAZITO JUU YA SAFARI ZA KWENDA KUOMBA MSAADA NCHI ZA NNJE Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema serikali inatarajia kukusanya kiasi cha Sh. trilioni 1.3 ndani ya mwezi huu pekee. Aidha, amesema ili kuhakikisha serikali inapata mapato ya kutosha, atasimamia vyema...
  • BREAKING NEWZZ: SERIKALI YA MAGUFULI KIBOKO, KIGOGO MWINGINE ASIMAMISHWA KAZI LEO

    BREAKING NEWZZ: SERIKALI YA MAGUFULI KIBOKO, KIGOGO MWINGINE ASIMAMISHWA KAZI LEO JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Anuani ya Simu "TAMISEMI" DODOMA Simu Na: (026) 2322848, 2321607, 2322853, 2322420, Nukushi: (026) 2322116, 2322146. 2321013, Barua pepe:ps@poralg.go.tz Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, S. L. P....
  • WAZIRI MKUU ANUSA UFISADI KIGOMA

    WAZIRI MKUU ANUSA UFISADI KIGOMA * Ni ubadhirifu wa fedha za umma, atoa siku mbili kukamilisha uchunguzi * Ataka apewe taarifa ya maandishi Januari Mosi, 2016 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Eng. John Ndunguru kukamilisha uchunguzi wake na kumpatia...
  • RUNGU ZITO;KAMPUNI 5 ZA SIMU NCHINI ZAPEWA ADHABU KALI NA TCRA,KISA HIKI HAPA ....!!!!

    RUNGU ZITO;KAMPUNI 5 ZA SIMU NCHINI ZAPEWA ADHABU KALI NA TCRA,KISA HIKI HAPA ....!!!!     TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HATUA ZA KISHERIA NA KIUDHIBITI KWA MAKAMPUNI YA SIMU YALIYOSHINDWA KULINDA WATEJA WAKE KITEKNOLOJIA NA KISHERIA KUHAKIKISHA USALAMA WA MAWASILIANO YAO 1. Katika shughuili zake za udhibiti...
  • WAZIRI TAMISEMI AMWAGIZA MKURUGENZI KUTUMBIA JIPU HILI MARA MOJA

    WAZIRI TAMISEMI AMWAGIZA MKURUGENZI KUTUMBIA JIPU HILI MARA MOJA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuwasimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Dodoma Bw. Elias N. Kamara na  Bibi Donatila D. Vedasto (Afisa Biashara) kuanzia leo...
  • December 26, 2015

  • HIVI NDIVYO POLISI WALIVYOYAKAMATA KIULAINI MAGUNIA HAYA YA BANGI

    HIVI NDIVYO POLISI WALIVYOYAKAMATA KIULAINI MAGUNIA HAYA YA BANGI Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limefanikiwa kukamata magunia sita ya Bangi baada ya kutelekezwa na wamiliki walipoona askari polisi waliokuwa katika doria. Akiongea na waandishi wa habari jana katika kituo kidogo cha polisi cha Lamadi wilayani Busega kamanda wa...
  • Waraghabishi wakoleza kasi ya mabadiliko wilayani Kishapu

    Waraghabishi wakoleza kasi ya mabadiliko wilayani Kishapu Watendaji wa Kituo cha Maendeleo cha Jamii ya Uchunga wilayani Kishapu wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi mbele ya jengo la kituo hicho likiwa limekamilika kutokana na michango yao ya fedha na nguvu kazi.  Na Krantz Mwantepele ,Kishapu  Mabadiliko katika...
  • Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.