July 05, 2014

  • YALIYOJIRI KWENYE ONYESHO LA MUZIKI WA SAMBA REGGE NA SAKARASI LILILOFAYIKA MBURAHATI KWA JONGO


    YALIYOJIRI KWENYE ONYESHO LA MUZIKI WA SAMBA REGGE NA SAKARASI LILILOFAYIKA MBURAHATI KWA JONGO
    Baadhi ya Watoto wakionyesha ujuzi wa kucheza sarakasi kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge iliyoandaiwa na kituo cha Baba Watoto kupitia mradi wa Fit For Life.
    Ngoma za samba regge kutoka Brasili zikichezwa kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo
     Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza akitoa hatuba yake kwa wananchi na wapenzi wa muziki na sarakasi waliofika kwenye onyesho hilo
    Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani cha Goethe Institut ambaye pia ni Mkurugenzi wa mradi wa fiti for life, Eleonore Sylla akisema machache wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life
    Mratibu wa kimataifa wa mradi wa Fit for life, Daniela Titze akisema machache wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge kupitia mradi wa Fit For Life.




  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.