July 07, 2014

  • WANANCHI WAFURIKA BANDA LA BUNGE KUPATA ELIMU KUHUSU KAZI ZA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA



    WANANCHI WAFURIKA BANDA LA BUNGE KUPATA ELIMU KUHUSU KAZI ZA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA
    Banda la Bunge katika Viwanja vya Sabasaba
    Wananchi wakiangalia picha za Maspika ambao walishawahi kuongoza Bunge tangu enzi za ukoloni hadi sasa.
    Majengo ambayo wamewahi kutumiwa na Bunge nayo yawa kivutio. Hapa Wananchi wakiangalia picha hizo katika Banda la Bunge.
    Afisa wa Bunge Ndg. Dickson Bisile akigawa vipeperushi vya Historia ya Bunge kwa wananchi wanaoingia katika Banda la Bunge kupata Elimu kuhusu Bunge.
    Afisa wa Bunge Bi. Asia Minja akitoa maelezo kuhusu hatua mahususi ambazo Muswada hupitia kabla ya kupitishwa kuwa Sheria na Bunge.
    Ndg. Patson Sobha akitoa elimu kuhusu Maana ya Siwa na matumizi yake Bungeni kwa wananchi waliofika katika Banda la Bunge.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.