July 18, 2014

  • Picha:Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya mambo ya nje na Mbunge wa Monduli-CCM Edward Lowassa Akutana Kwa Mazungumzo na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania Koen Adam



    Picha:Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya mambo ya nje na Mbunge wa Monduli-CCM Edward Lowassa Akutana Kwa Mazungumzo na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania Koen Adam
    Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya mambo ya nje Mh Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini Koen Adam aliyekwenda kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Saalam. Walijadiliana masuala mbalimbali yakiwemo suala la mchakato wa katiba mpya,mzozo katika eneo la nchi za maziwa makuu pamoja na hali katika Umoja wa Ulaya.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.