July 01, 2014

  • NSSF YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 38 YA KIMATAIFA YA BIASHARA ‘SABASABA


    NSSF YANG'ARA KATIKA MAONESHO YA 38 YA KIMATAIFA YA BIASHARA 'SABASABA
    '
    Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mrs Eunice Chiume (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa uhusiano wa shirika hilo katika maonyesho ya Sabasaba  yanayoendelea katika viwanja ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

    Meneja Kiongozi, Uhusiano na huduma kwa wateja Mrs Eunice Chiume wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii akifafanua jambo kuhusu Bima ya Afya kwa mwanachama alietembelea Banda hilo katika maonyesho ya Sabasaba.





  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.