July 09, 2014

  • KIBAKA ALA KICHAPO BAADA YA KUKWAPUA SH MIL 5 KWA MTEJA WA BENKI DAR



    KIBAKA ALA KICHAPO BAADA YA KUSKWAPUA SH MIL 5 KWA MTEJA WA BENKI DAR
    Askari kanzu (kulia), akimpeleka kituo cha Polisi Kati, kijana aliyedhaniwa kumkwapua mtu aliyetoka benki ya NBC katika ya Jiji leo mpita njia fedha zilizotajwa kufikia sh. mil. 5, maeneo ya Mtaa wa Samora, Dar es Salaam akiwa na wenzake ambao walifanikiwa kukimbia na fedha hizo. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.