Heshima:                        Gwiji wa Manchester United akipozi katika picha                        baada ya kupata digrii yake kwenye ukumbi wa                         Victoria Hall mjini Bolton.
          GWIJI wa Manchester                        United, amezawadia shahada ya heshima ya Udaktari                        na chuo kikuu cha Bolton kutokana na mchango wake                        mkubwa aliotoa katika mchezo soka.
          Giggs aliyestaafu kucheza                        soka mwishoni mwa msimu uliopita amepokea udaktari                        wa sayansi kwa mchango wake mkubwa katika michezo                        kwenye mahafali ya chuo iliyofanyika ukumbi                        wa Victoria Hall mjini Bolton jana ijumaa mchana. 
          Giggs anaongeza shahada                        hiyo katika shahada yake ya kwanza ya OBE                        aliyopata kutoka kwa Malkia mwaka 2007, shahada ya                        pili (MA) alipewa mwaka uliofuata na chuo                        cha Salford.
         Giggs                        aliwapongeza wanafunzi wa chuo kwa kupata digrii                        zao.
         
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment