July 16, 2014

  • DAWA ZA DICLOPA NA DICLOFENAC ZADAIWA KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU




    DAWA ZA DICLOPA NA DICLOFENAC ZADAIWA KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

    Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!
    Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo,
    Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla.



    Chanzo: Radio Dutch Velle


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.