July 15, 2014

  • WAHARIRI WAANDAMIZI WAHAMASIKA NA KUJIUNGA RASMI KATIKA MPANGO MAALUM WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS) KATIKA MFUKO WA GEPF



    WAHARIRI WAANDAMIZI WAHAMASIKA NA KUJIUNGA RASMI KATIKA MPANGO MAALUM WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS) KATIKA MFUKO WA GEPF
    Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa GEPF,Bw Aloyce Ntukamazina akiwasilisha mada juu ya uchangiaji wa hiari katika mpango wa VSRS,wakati wa Semina iliyofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Mtwara.
    Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa GEPF,Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi kadi ya uanachama wa hiari,Bi Grace Hokka ambaye ni Mhariri kutoka kampuni ya New Habari huku akifurahia kujiunga rasmi katika mpango wa hiari wa GEPF
    Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa GEPF,Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi na kumkaribisha rasmi Bw Martin Kuhanga kujiunga na wenzake katika Mfuko huku akishuhudiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Bw Absalom Kibanda (kulia).
    Bw Abdalah Majura akipokea rasmi kadi yake ya uanachama baada ya kuelewa umuhimu wa kujiwekea akiba ukiwa bado kazini.
    Katibu Mkuu wa jukwaa la wahariri,Bw Nevile Meena akikabidhiwa kadi ya uanachama baada ya kujiunga rasmi na Mfuko wa GEPF.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.