 Semina elekezi ya michuano ya Airtel Rising                Stars kwa mikoa sita inafanyika kesho (Julai 19 mwaka huu)                saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa                Taifa, Dar es Salaam. Washiriki wa semina hiyo ni kutoka mikoa ya                Mbeya (Katibu na mwakilishi wa wanawake), Mwanza (Katibu                na mwakilishi wa wanawake), Morogoro (Katibu), Ilala                (Katibu na mwakilishi wa wanawake). Temeke (Katibu na mwakilishi wa wanawake),                Kinondoni (Katibu na mwakilishi wa wanawake), Dar es                Salaam (Mwenyekiti na Katibu), na Chama cha Mpira wa Miguu                Zanzibar (ZFA) kitakachowakilishwa na mwakilishi wa                wanawake.
Semina elekezi ya michuano ya Airtel Rising                Stars kwa mikoa sita inafanyika kesho (Julai 19 mwaka huu)                saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa                Taifa, Dar es Salaam. Washiriki wa semina hiyo ni kutoka mikoa ya                Mbeya (Katibu na mwakilishi wa wanawake), Mwanza (Katibu                na mwakilishi wa wanawake), Morogoro (Katibu), Ilala                (Katibu na mwakilishi wa wanawake). Temeke (Katibu na mwakilishi wa wanawake),                Kinondoni (Katibu na mwakilishi wa wanawake), Dar es                Salaam (Mwenyekiti na Katibu), na Chama cha Mpira wa Miguu                Zanzibar (ZFA) kitakachowakilishwa na mwakilishi wa                wanawake. Washiriki                wengine katika semina hiyo ambayo mgeni rasmi atakuwa                Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine ni wajumbe wa                Kamati ya Mpira wa Miguu wa Vijana ya TFF.
           BONIFACE                WAMBURA
          OFISA                HABARI NA MAWASILIANO
          SHIRIKISHO                LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
                       
0 comments:
Post a Comment