July 14, 2014

  • PICHA: MAJANGA CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI ,VIONGOZI WAKE KATA YA RUAHA WASEMA WAMECHOSHWA NA UBABAISHAJI WA MBUNGE PETER MSIGWA KUTOKA CHADEMA WAREJEA CCM ,WAMPA TANO KABATI


    PICHA: MAJANGA CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI ,VIONGOZI WAKE KATA YA RUAHA WASEMA WAMECHOSHWA NA UBABAISHAJI WA MBUNGE PETER MSIGWA KUTOKA CHADEMA WAREJEA CCM ,WAMPA TANO KABATI

     Baadhi ya  nyaraka za  Chadema na kadi
    Katibu  wa CCM mkoa akiangalia nyaraka ya siri ya kuhujumu uchaguzi  mkuu iliyotolewa na Chadema taifa  ambayo imekabidhiwa kwake na aliyekuwa katibu kata wa Chadema kata ya  Ruaha
     Mbunge Ritta Kabati  akisalimia  na maofisa wa  polisi  waliofika  kulinda  usalama katika mkutano  huo
      Diwani  wa kata ya Mtwivila Vitus  Mushi akisaliama na wadau  leo
     Makada  wa  Chadema  waliojiunga na CCM Iringa mjini  wakila kiapo
    viongozi  wa Chadema  waliohamia  CCM leo katika mkutano wa CCM kuimarisha chama uliofanyika mtaa wa Kwa mwagongo



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.