July 09, 2014

  • NGOSHA AKUTWA AMEJINYONGA CHALINZE - PWANI



    NGOSHA AKUTWA AMEJINYONGA CHALINZE - PWANI MWANAFUNZI A ..

    Katika hali ya kuhuzunisha jamaa mmoja anaejulikana kwa jina la ngosha amekutwa amejinyonga kwenye mti.....bila ya kuacha ujumbe wowote

    habari za kuaminika zinasema kuwa tukio hilo lilitokea jana usiku ambapo baadhi ya wananchi alfajiri yake waliuona mwili wa marehemu akining'inia juu ya mti na kutoa taarifa katika kituo cha polisi chalinze ambapo difenda ya polisi ilienda kuuchukua mwili wa marehemu huyo ....


    enzi za uhai wake ngosha amekuwa akijishughurisha na biashara ya nyamachoma katika barabara ya kuelekea magindu... Na makazi yake yalikuwa ni mkabeni


    polisi wanaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo....


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.