Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Russia, Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 18, 2014 kuaga.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment