Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Taasisi ya Uongozi ya Afrika Mashariki, Prof. Rwekaza Mukandala akimkaribisha Waziri Membe kufungua rasmi mafunzo hayo. Wengine katika picha ni Dkt. Benson Bana (wa kwanza kulia), Mhadhiri na Mratibu wa Mafunzo hayo kwa mwaka 2014 na Prof. Betram Mapunda (wa kwanza kushoto).
Waziri Membe akitoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo.
Sehemu ya Wanafunzi wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) alipowahutubia.
Sehemu nyingine ya Wanafunzi wakimsikiliza Mhe. Membe alipowahutubia.
0 comments:
Post a Comment