July 20, 2014

  • KAMPUNI YA MONTAGE YAFUTARISHA WAOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS VILLAGE




    KAMPUNI YA MONTAGE YAFUTARISHA WAOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS VILLAGE
    4a
    Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Montage ya jijini Dar es salaam akiwagawia watoto yatima wa kituo cha kulelea watoto cha SOS Village kikilchoko Sinza barabara ya Sam Nujoma alipowakaribisha kwa futari kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizoko Kindondoni juzi ikiwa ni moja ya maelengo ya kampuni hiyo kuwakumbuka watoto yatima na kuwakarimu wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

    5a
    Anitha Pangani mfanyakazi wa kampuni ya Montage akiwagawia watoto chakula wakati wa futari hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Montage.
    6a
    Watoto wakiendelea kupata chakula
    7a
    Watoto wakifuturu
    8a9a
    Baadhi ya wafanyakazi wa kituo hicho wakishiriki katika futari hiyo pamoja na watoto.
    11a
    Mtoto Naijo Nestor Mapunda akifuturu pamoja na watoto wenzake wa kituo cha SOS Village  Sinza.
    13a
    Watoto wakipaku chakula


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.