July 19, 2014

  • Jaji Mfawidhi kanda ya Dar es Salaam ahitimisha ziara ya ukaguzi wa mahakama mkoa wa pwani


    Jaji Mfawidhi kanda ya Dar es Salaam ahitimisha ziara ya ukaguzi wa mahakama mkoa wa pwani
    Jaji Mfawidhi kanda ya Dar es Salaam Mhe. SS Kihiyo akihitimisha ziara yake ya ukaguzi wa mahakama Mkoa wa Pwani. Pichani anakutana na Mhe. Ridhiwani  Mbunge wa Chalinze (wa kwanza kulia) Mhe. Shah Mbunge ea Mafia (hayupo pichani) na viongozi wengine  wakijadili changamoto mbalimbali na maboresho ya mahakama mkoa wa Pwani.Wengine ni Me. William Mutaki,msajili wa Kanda ya Dar es salaam,  na mahakimu katika kiwanja cha ndege cha Mafia muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea Dar es salaam


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.