July 09, 2014

  • BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA




    BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA
    Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Property International Bwana. A. Haleem alipomtembelea banda la kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. Kampuni hiyo inatoa huduma za kupima ardhi na viwanja kwa kutumia teknolojia ya kisasa.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.