January 02, 2015

  • GERRARD KUTIMKA LIVERPOOL


    GERRARD KUTIMKA LIVERPOOL
    245CE73B00000578-0-image-a-6_1420146965604
    Los Angeles Galaxy wanatumaini kuinasa saini ya Steven Gerrard 
    NAHODHA wa Liverpool, Steven Gerrard leo ijumaa anatarajia kutangaza kumaliza miaka yake 26 ya kuichezea Liverpool.
    Nyota huyu aliyetukuka Anfield anatarajia kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
    Gerrard aliyejiunga na klabu hiyo akiwa na miaka 8 tu anatakiwa na klabu ya  LA Galaxy. 
    Hata hivyo, Gerrard amesisitiza kuwa hajafikia maamuzi yoyote na klabu yake.
    Kiungo huyu mahiri amepiga chini mpango wa kuongeza Mkataba Anfiedl na amekuwa huru kuzungumza na klabu nyingine kutoka jana januari mosi mwaka huu.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.