Sikukuu                ya Maulid kitaifa inaratajia kufanyika wilayani Korogwe                mkoani Tanga Januari 4 Mwaka huu. 
        Kwa                taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na kusainiwa                na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislaam Tanzania                (Bakwata),Suleiman Said Lolila ilisema Maulid itaanza                Januari 3 na kumalizika Januari 4.
        Mufti                na Sheikh Mkuu wa Tanzania ,Issa  Bin Shaaban Simba                anawatakia waislaam na wananchi kwa ujumla maulid njema.
        Hata                hiyo Katibu Mkuu Lolila aliwataka waislam wote nchini                kushirikia kikamilifu katika mazazi ya M.tume mohamad (S.                AW)
        Wabillah                Tawfiq.
        
0 comments:
Post a Comment