Christopher Almas ambaye ni Mkufunzi na Msanifu Majengo Kutoka Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya akitoa Maelezo ya kina kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo kuhusiana na jinsi kazi ya Usanifu majengo inavyo fanyika.
Stephano maduka wa kwanza kushoto ambaye ni Mkufunzi idara ya Ujenzi akielezea aina mbalimbali za Mchanga, Udongo,na Kokoto ambazo zinatumika kwa ajili ya ujenzi, pia alizungumzia umuhimu wa mchanga kulingana na aina ya ujenzi alitoa mfano kuwa aina ya mchanga inaweza kusababisha uharibifu wa rangi katika nyumba aliyatoa maelezo hayo kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo
Baadhi ya Watumishi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia wakiwa wanamsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo ambaye hayupo pichani wakati akiuliza swali
Huu ni Mfani wa Jengo la Ubunifu ambalo limebuniwa na Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya katika kitengo cha Usanifu Majengo
Wilson Kiunsi Mhadhiri ambaye yupo katika kitengo cha Mechatronic wa kwanza kulia akitoa maelezo kwa kina kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo Jinsi Teknolojia Mpya ya Robot inayoweza kufanya kazi baada ya Binadamu, aliongeza kuwa Teknolojia hiyo ni Mpya na ya kisasa zaidi ambayo inatumika katika viwanda mbalimbali mfano wa Robot ambayo inafanya kazi ya kusindika vitu pia kufunga vitu kwa haraka zaidi kulipo uwezo wa Binadamu.
Phesto Namayala Mkufunzi msaidizi Kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia akielezea Jinsi wanayoweza kutengeneza Program mbalimbali kwa ajili ya matumizi Mbalimbali mfano Program za mahesabu kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo
Mhadhiri Msaidizi kutoka Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Patricia Fela akitoa maelezo ya kina juu ya Biashara katika Kilimo jinsi ambavyo kinaweza kubadilika na kuwa kibiashara zaidi alielezea pia mfano wa Juice ya Tunda la Apple ambapo tunda hilo licha ya kuliwa lakini limeweza kutumika kibiashara zadu kwa kutengenezewa Juice aliongezea kuwa kupitia mpango huo wanafanya kazi za kuwatengenezea watu Business plan kwa ajili ya kuwasaidia kibiashara , maelezo hayo aliyatoa kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo
Theopista Mng'ong'o Afisa Mdahili kutoka Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia akitoa maelezo juu ya kujiunga na chuo hicho kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo
Fundi Mitambo wa Karakana ya Umeme Joseph Matwani akitoa maelezo juu ya Kifaa ambacho kinatumia sauti kwa kuwasha na kuzima taa badala ya kuwa na switch ya umeme ukutani kifaa hicho ambacho kikisikia sauti tuu kinazima , alieleza kuwa wameleta hiyo ili kuwawezesha wakulima teknolojia hiyo ipate kuwasaidia kwa urahisi zaidi. Pia alieleza kuwa kuna kifaa maalum kwa ajili ya kuongozea Magari hasa katika kona kali , maelezo aliyatoa kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo
Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo wakiendelea kupata maelezo
Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo wakipata maelezo kwa Marc Nasari Juu ya Mradi wa Maporomoko ya Karambo Mkoani Rukwa
Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo wakipata maelezo kutoka kwa Lameck Godfley wa kwanza kushoto ambao wapo kitengo cha Ushauri wa kitaalam kuhusu majengo, na ujenzi mbalimbali (MCB) akielezea mambo mbalimbali wanayofanya
Samweli Erasto akielezea akitoa maelezo juu ya Geti ambalo linajiendesha lwa umeme ambapo alielezea Geti hilo linatumika zaidi katika maeneo ya maofisini na kwa watu binafsi aliyatoa maelezo hayo kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo ambaye hayupo pichani
John Mwakambonja wa kwanza kutoka kulia akielezea kwa kina shughuli wanazofanya kwa kina zinazohusiana na kutengeneza madawati, meza viti vitanda na mengine mengi, alieza kuwa kazi zote zinafanywa na wanafunzi aliyatoa maelezo hayo kwa Mgeni Rasmi kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa aliye Ongozana na Secretarieti nzima ya Mkoa huo Respich Maengo
Picha na Mbeya yetu
0 comments:
Post a Comment