August 05, 2014

  • BANDA LA TIA LAZIDI KUVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MBEYA, WENGI WATAKA KUJIUNGA NA CHUO HICHO



    BANDA LA TIA LAZIDI KUVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MBEYA, WENGI WATAKA KUJIUNGA NA CHUO HICHO
     Baadhi ya wanafunzi wakiendelea kujadiliana mara baada ya kupata Elimu katika Banda la TIA Kampasi ya Mbeya
      Baadhi ya wanafunzi wakiendelea kujiandikisha katika Kitabu cha wageni
    Baadhi ya watu wakiendelea kupata Maelekezo ya Jinsi ya kujiunga na Chuo hicho
    *******
    AFISA MTENDAJI MKUU WA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA) ANAWAKARIBISHA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA 4, CHA 6, CHETI CHA AWALI, DIPLOMA NA DEGREE YA KWANZAKUJIUNGA NA KOZI MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015 KATIKA KAMPASI ZAKE ZA DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA, MWANZA NA KIGOMA; KAMA IFUATAVYO:
    1.      KOZI ZA CHETI CHA AWALI YAANI BASIC TECHNIAN CERTIFICATE – MWAKA 1
    Ø  BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN ACCOUNTANCY
    Ø  BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT
    Ø  BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN BUSINESS ADMINISTRATION
    Ø  BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN HUMAN RESOURSE MANAGEMENT
    Ø  BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN MARKETING & PUBLIC RELATIONS
    Ø  BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PUBLIC SECTOR ACCOUNTING & FINANCE

    2.      KOZI ZA STASHAHADA YAANI DIPLOMA – MIAKA 2
    Ø  DIPLOMA IN ACCOUNTANCY
    Ø  DIPLOMA IN PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT
    Ø  DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION
    Ø  DIPLOMA IN HUMAN RESOURCE MANAGEMENT
    Ø  DIPLOMA IN MARKETING & PUBLIC RELATIONS
    Ø  DIPLOMA IN PUBLIC SECTOR ACCOUNTING & FINANCE

    3.      KOZI ZA SHAHADA YA KWANZA YAANI BACHELOR DEGREE – MIAKA 3
    Ø  BACHELOR IN ACCOUNTANCY
    Ø  BACHELOR IN PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT
    Ø  BACHELOR IN BUSINESS ADMINISTRATION
    Ø  BACHELOR IN HUMAN RESOURCE MANAGEMENT
    Ø  BACHELOR IN MARKETING & PUBLIC RELATIONS
    Ø  BACHELOR IN PUBLIC SECTOR ACCOUNTING & FINANCE

    4.      KOZI ZA STASHAHADA YA UZAMILI YAANI POSTGRADUATE DIPLOMA – MIAKA 2
    Ø  POSTGRADUATE DIPLOMA IN ACCOUNTANCY
    Ø  POSTGRADUATE DIPLOMA IN PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT

    SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA CHETI CHA AWALI:
    Ø  Mwombaji awe amefaulu angalau masomo 3 kwa kiwango cha alama "D" au zaidi kwenye mtihani wa kidato cha nne;  Au
    Ø  Awe na cheti cha mafunzo ya ufundi daraja la pili (NVA 2) kutoka chuo cha VETA
    SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA STASHAHADA:
    Ø  Mwombaji awe na Cheti cha Awali kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na NACTE; Au

    Ø  Kidato cha sita mwenye Principal pass 1 au Subsidiaries 2 au zaidi.

                SIFA ZA KUJIUNGA NA BACHELOR DEGREE kupitia TCU/NACTE:
    Ø  Mwombaji awe amemaliza kidato cha Sita mwenye Principal passes 2 au zaidi ambazo jumla ya alama zake ni 3.5 au zaidi

    Ø  Mwombaji awe na Stashahada (NTA Level 6) kwa ufaulu wa kiwango cha daraja la Kwanza au la Pili (first & second classes)

    SIFA ZA KUJIUNGA NA BACHELOR DEGREE kupitia TIA (PRE-ENTRY PROGRAMME):
    Ø  Kidato cha Sita mwenye Principal Passes 2 au zaidi ambaye jumla ya alama zake hazifiki 3.5; Au

    Ø  Diploma aliyefaulu kwa kiwango cha daraja la tatu (Pass).


                SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA STASHAHADA YA UZAMILI:
    Ø  Mwombaji awe na Bachelor Degree/Advanced Diplomakutoka chuo chochote kinachotambuliwa na TCU/NACTE; Au

    Ø  Waliopitia kwenye bodi za fani husika (NBAA/PSPTB) Intermidiate stage au zaidi kwa NBAA na Proffesional level 3 au zaidi kwa PSPTB. 
    FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA TAASISI www.tia.ac.tz, ZIRUDISHWE KATIKA KAMPASI ZETU ZA DSM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA, MWANZA NA KIGOMA
    Gharama ya fomu ni sh. 20,000/=
    Mwisho wa kupokea Maombi ni tarehe 30/08/2014
     Kwa Mawasiliano zaidi, piga simu namba 0754 376 371 au 0713 376 144 au 0754 772 090

    "ELIMU KWA UFANISI"

    USIKOSE KUTEMBELEA BANDA LA TIA NANE NANE MBEYA


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.