July 18, 2014

  • SOMA TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014



    SOMA TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
    Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bw. Hebron Mwakageda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.
    Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Policy Forum,Bw. Israel Ilunde akifafanua jambo wakati mkutano huo na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.Kulia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bi. Regina Katabi.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.