July 18, 2014

  • PICHA KUTOKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA:MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-BARA PHILIP MANGULA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CAPP JIJINI DAR ES SALAAM




    PICHA KUTOKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA:MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-BARA PHILIP MANGULA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CAPP JIJINI DAR ES SALAAM
     Makamu Mwenyekiti wa CCM(Bara) Ndugu Philip Mangula akimkaribisha Katibu Mkuu wa CAPP Dk. Nafie Ali Nafie kutoka Khartoum Sudan kwenye ofisi Ndogo za CCM Lumumba.
     Makamu Mwenyekiti wa CCM(Bara) Ndugu Philip akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu wa CAPP Dk. Nafie Ali Nafie kutoka Khartoum Sudan kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam,Julai 18,2014.

      Makamu Mwenyekiti wa CCM(Bara) Ndugu Philip Mangula akiagana na Katibu Mkuu wa CAPP Dk. Nafie Ali Nafie kutoka Khartoum Sudan
    Makamu Mwenyekiti wa CCM(Bara) Ndugu Philip Mangula akiagana na Balozi wa Sudani nchini Tanzania Dk.Yassir Mohamed Ali nje ya Ofisi Ndogo za CCM Lumumba ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) alikuwa na mazungumzo na Katibu Mkuu wa CAPP Dk. Nafie Ali Nafie kutoka Khartoum Sudan.Picha na Adam Mzee wa CCM



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.